Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo akizungumza mkoani Singida, mwishoni mwa wiki kwenye hafla ya kupokea mabomba ya maji ambayo ni sehemu ya Programu kubwa inayotekelezwa kwa nchi nzima katika mikoa 17, Singida ikiwa ni moja ya mikoa hiyo.
Mkurugenzi wa RUWASA, Clement Kivegalo, akizungumza kwenye hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo.
Meneja wa RUWASA Mkoa wa Singida, Mhandisi Lucas Saidi, akizungumza.
Meneja wa Kiwanda cha kutengeneza mabomba cha Pipe Industries Company Ltd, Ezra Chiwelesa, akizungumza.
Mabomba yaliyokabidhiwa.
Mabomba yakiwa kwenye gari.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo akizungumza na Mkurugenzi wa RUWASA, Clement Kivegalo.
Na
Mwandishi Wetu, Singida
Mwandishi Wetu, Singida
WIZARA
ya Maji inatarajia kufanya utafiti mkubwa na usanifu wa mradi mkubwa wa maji wa
kuchukua maji kutoka ziwa vicktoria kupeleka Mkoani Dodoma kwa kupitia Mkoani
Singida katika mwaka wa fedha wa 2020/2021.

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maji, Prof.Kitila Mkumbo alitoa kauli hiyo kwenye hafla ya
kupokea mabomba ya maji ambayo ni sehemu ya Programu kubwa inayotekelezwa kwa
nchi nzima katika mikoa 17,Singida ikiwa ni moja ya mikoa hiyo.

Aidha
Katibu Mkuu huyo wa maji alisisitiza kwamba kwa kuwa fedha za mradi huo
zimetengwa katika bajeti ya mwaka huu wa fedha,hivyo anaamini katika kipindi
cha miaka mitano ijayo mikoa ya Singida na Dodoma inaweza ikapata maji kutoka
ziwa Viktoria.

“Na
utafiti wa awali umeonyesha kwamba jambo hili linawezekana wameshaona wataalamu wetu kwamba maji ya
kifika pale Meatu wataweza wakayapandisha yakafika katika Kijiji cha
Kisana,katika Mji mdogo wa Kiomboi.”alifafanua Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya
Maji.

Hata
hivyo Prof.Mkumbo aliitaja mikoa ya Dodoma,Singida,Tabora,Shinyanga,Mara pamoja
na Simiyu kuwa ni mikoa ambayo kiraslimali ya maji nimikoa kame na ndiyo yenye
changamoto ya kupata mvua kidogo na hivyo kusababisha uhaba mkubwa wa maji.

“Mikoa
ya Dodoma,Singida,Tabora,Shinyanga,Mara pamoja na Simiyu hii ni mikoa ambayo
kiras;imali za maji ni tunasema ni mikoa ambayo ni mikoa kame inachangamoto za
kupata mvua kidogo kwa hivyo maji ni kidogo sana na kwa kiasi kikubwa
tunategemea maji chini ya ardhi.”aliweka bayana Prof Mkumbo.

hivyo Prof Mkumbo alisisitiza pia kwamba kwa bahati nzuri kwa mikoa ya
Tabora,Shinyanga,Simiyu pamoja na Mara wamekwishatatua changamoto zilizokuwa
zikiikabili mikoa hiyo kwa kutumia raslimali kubwa ya Ziwa Viktoria.

Kwa
mujibu wa Katibu Mkuu huyo wa wizara maji ya ziwa viktoria wameyafikisha mpaka
wilayani Igunga,Mkoani Tabora yameshakamilika na wananchi wa Igunga tayari
wanapata maji kutoka ziwa viktoria.

Mkurugenzi
wa RUWASA, Clement Kivegalo aliweka wazi kwamba kupitia mabadiliko ya kisera
ndani ya sekta ya maji hivi sasa wachimbaji wa visima ni sehemu ya
RUWASA,ambapo ni kitengo kilicho ndani ya Mamlaka hiyo.

“Kwa
hiyo tutataka tupihe kambi katika Mkoa wa Singida kuhakikisha kwamba tunatafuta
vyanzo na tunatekeleza miradi kadri inavayowezekana ili wastani wa upatikanaji
wa maji katika Mkoa wa Singida uweze kupanada angalau uweze kufikia kama mikoa
mingine.”alifafanua Mkurugenzi huyo wa RUWASA.

Kivegalo hata hivyo aliweka bayana kuwa alitumia fursa hiyo kuwaagaiza mameneja
wengine wa RUWASA wa mikoa yote kukimbizana na kasi kama meneja wa Mkoa wa
Singida alivyofanya ambapo takribni miradi yote imeshafikia asilimia sabini.

Meneja
wa RUWASA Mkoa wa Singida, Mhandisi Lucas Saidi alifafanua kwamba kuna miradi
zaidi ya 30 inayotarajiwa kutekelezwa lakini kutokana na mabomba hayo yaliyopo
wanatarajia kutekeleza jumla ya miradi tisa iliyopo katika wilaya za Mkoa wa
Singida.

Mhandisi
huyo wa RUWASA hata hivyo aliitaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na mradi wa
Wembere na Kyalosangi wilayanai Iramba,mradi wa Ibaga wilayani Mkalama,mradi wa
Mughamo na Msisi wilaya ya Singida,mradid wa Dung’unyi wilayani Ikungi na mradi
wa Kitaraka,Kikombo na Kashangu wilayani Manyoni.

mujibu wa Mhandisi Swedi jumla ya watu 63000 wanatarajia kunufaiaka na huduma
ya upatikanaji wa maji safi na salama ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kwamba
zaidi ya miradi 40 inatarajiwa kukamilika katika kipindi hicho.