Home Michezo MCHEZA GOLF FRED LAIZER AIBUKA NA USHINDI MASHINDANO YAA BREAKFAST LUGALO

MCHEZA GOLF FRED LAIZER AIBUKA NA USHINDI MASHINDANO YAA BREAKFAST LUGALO

0

***************************

MCHEZA GOLF FRED LAIZER AMEIBUKA NA USHINDI KWA MIKWAJU 72 KATIKA MASHINDANO YA MWISHO YA LIGI KWA KUNDI LA BREAKFAST  YALIYOFANYIKA KAATIKAA UWANJA WA LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM.

AKIZUNGUMZA MARA BAADA YAA MCHEZO  AMBAO KWA KIASI KIKUBWA ULITAWALIWA NA HALI YA HEWA YA UPEPO AMESEMA SIRI KUBWA NI KUTOKAKTA TAMAA.
KWA UPANDE WA WAKE KWA WACHEZAJI  WANAWKAE MCHEZAJI VICKY ELEIAS AMESEEMA MCHUANO NI MKALI NA UPEPO ULIKUWA KIKWAZO.
KATIKA TUKIO LINGINE MOJA YA WADHAMINI WA MPAMABANO WA WACHEZAJI WA KULIPWA KATI YA ABDALAH YUSUPH NA GEOFREY REVERIAN UNAOTARAJIWA KUPIGWA KESHO GEOORGE KIVALIA AMEZUNGUMZIA MAANDAALIZI YAA MCHEZO HUO