Home Siasa MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA UVCCM UDSM

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA UVCCM UDSM

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika kipindi chake cha Uongozi. kongamano hilo linafanyikaleo Juni 20,2020 katika Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es salaam.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Msanii wa kizazi kipya Abdulazizi Abubakari Chende (Dogo Janja) leo Juni 20,2020 katika Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es salaam,  baada ya kutuimbuiza kwenye ufunguzi wa kongamano la Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika kipindi chake cha Uongozi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara na Viongozi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam alipowasili katika Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es salaam leo Juni 20,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika kipindi chake cha Uongozi.