Home Michezo BARCELONA YALAZIMISHWA SARE NA SEVILLA LALIGA

BARCELONA YALAZIMISHWA SARE NA SEVILLA LALIGA

0

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka beki wa Sevilla, Diego Carlos katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Kwa matokeo hayo, Barca inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 30, ikiizidi pointi tatu Real Madrid ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI SOMA HAPA