Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka beki wa Sevilla, Diego Carlos katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Kwa matokeo hayo, Barca inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 30, ikiizidi pointi tatu Real Madrid ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BARCELONA YALAZIMISHWA SARE NA SEVILLA LALIGA
By Alex Sonna
June 20, 2020 | 11:05 am

Related Stories
View all
Michezo
13 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA MIGHTY WANDERERS 6 -1, YASONGA MBELE LIGI YA MABIGWA AFRIKA
Wekundu wa Msimbazi, , wameibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa…
Michezo
1 day ago
YANGA SC YASONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1…
