Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza na Sheikhe wa Mkoa, Alhaji Sheikh Hasani Kabeke, akisistiza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari jana.Kulia ni Mwenyekiti Mwenza wa kamati hiyo Askofu Charles Sekelwa na wa tatu kutoka kushoto ni Katibu Mwenza wa kamati hiyo Askofu Zenobius Isaya wa pili kushoto ni Katibu Mweza pia Ramadhani Chanila.
Viongozi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Mwanza jana wakati wakitoa tamko la kumpongeza Rais John Magufuli kwa uongozi wake uliowezesha kutekelezwa miradi mingi ya maendeleo..
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza na Sheikhe wa Mkoa, Alhaji Sheikh Hasani Kabeke, akizungumza na waandishi wa habari jana.Kulia ni Mwenyekiti Mwenza wa kamati hiyo Askofu Charles Sekelwa na wa tatu kutoka kushoto ni Katibu Mwenza wa kamati hiyo Askofu Zenobius Isaya.