Home Mchanganyiko BWEGE AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUMPATIA UMEME NA ZAHANATI JIMBONI KWAKE

BWEGE AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUMPATIA UMEME NA ZAHANATI JIMBONI KWAKE

0

*********************

Na Magreth Mbinga

Namshukuru Sana Mh Magufuli kwa kuniletea umeme na zahanati kwenye Jimbo langu .

Hayo yamezungumzwa na Mbunge wa Jimbo la Kilwa Suleiman Bungara (Bwege) katika mkutano wake na waandishi wa habari .

Pia amesema amehamia ACT muda mrefu na Jimbo lake lote ni wanachama wa Chama hiko.

Vilevile Bwege amesema yeye hamfuati Maalim Seif kwakuwa alihamia ACT Wazalendo muda mrefu.