Home Mchanganyiko PICHA ZA MNATO WAZIRI WA MAENDELEO WA NORWAY & PROF. KABUDI

PICHA ZA MNATO WAZIRI WA MAENDELEO WA NORWAY & PROF. KABUDI

0

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Bw. Dag-IngeUlstein.   Mazungumzo hayo yamefanyika kwa njia ya mtandao(video confrencing) katika ofisi za         Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijini Dodoma.

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa pamoja na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akifuatilia mazungumzo yake na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Bw. Dag-IngeUlstein,mazungumzo yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (video Conferencing) jijini Dodoma.

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na baadhi ya watumishi wakiandika kitu wakati wa mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Bw. Dag-IngeUlstein,mazungumzo yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (video Conferencing) jijini Dodoma.