Home Mchanganyiko KIKAO CHA WAJUMBE WA WAKUU WA TAKWIMU KWA NCHI ZA SADC

KIKAO CHA WAJUMBE WA WAKUU WA TAKWIMU KWA NCHI ZA SADC

0

Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa wa wajumbe kutoka NBS, akiongoza kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi wanachama wa Jumuiya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kilichojadili kuhusu itifaki ya takwimu za nchi hizo, kikao hicho kilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020

Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi za SADC (kama inavyoonekana kwenye picha) kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.

Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kikao cha wakuu wa takwimu kwa nchi za SADC, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.

Wajumbe wa Kikao cha Takwimu cha nchi za SADC  kutoka Tanzania wakiongozwa na Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa katika kikao hicho kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020..