Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida – Willy Mponzi (kushoto), wamekabidi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoni hapo.