Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA...

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DODOMA LEO

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Kulia Meza Kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christophere Kadio.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akisoma taarifa ya Kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Kulia ni  Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto meza kuu) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (kulia meza kuu), alipokuwa anafafanua jambo katika Kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto meza kuu), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (kulia meza kuu), wakiwa na Wajumbe wa Kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.