*************************
BAADHI YA WACHEZAJI WA KLABU YA GOLF YA LUGALO WAMEANZA MAZOEZI YA WATU WAWILI WAWILI HUKU WAKITAMBIANA KWA KILA TIMU AMBAZO ZIAMNZA MAZOEZI BAADA YA MICHEZO KURUHUSIWA.
WAKIZUNGUMZA KWA NYAKATI TOFAUTI MMOJA WA WACHEZAJI AMBAYE AMEONEKANA KUKAMIWA NA WACHEZAJI WENGU ERNEST SENGEU AMESEMA HASUMBULIWI NA MANENO YA WATU KWANI MAZOEZI YAMEANZA KUKUBALI.
KWA UPANDE WAKE MCHEZAJI ANAYEJITAMBULISHA KAMA MZE FIMIN MABACHI AMEAHIDI KUMFUNGA NAHODHA WA KLABU YA LUGALO KAPTENI JAPHET MASAI.
NA KWA UPANDE WAKE MCHEZAJI KIKI AYONGA AMESEMA IWAPO ATAFUNGWA BASI ATATOA SHILINGI LAKI MMOJA KWA ERNEST LAKINI ANAAMINI KUIBUKA NA USHINDI.
WIKI HII TIMU YA DAR BOGGIE ILIYONDANI YANKLABU YA GOLF YA LUGALO IMEANZA MAZOEZI KWA KUINGIA KATIKA MASHINDANO YA WAWILI WAWILI ILI KUPATA HAMASA YA KUFANYA MAZOEZI KWA BIDII ILI KUREJESHA VIWANGO VYAO.