Home Michezo MAYWEATHER KULIPIA SHUGHULI ZA MAZISHI YA GEORGE FLOYD

MAYWEATHER KULIPIA SHUGHULI ZA MAZISHI YA GEORGE FLOYD

0

**************************

Bondia mstaafu, Floyd “Money” Mayweather, amejitolea kulipia shughuli zote za mazishi ya George Floyd aliyefariki takribani wiki 1 iliyopita akiwa mikononi mwa polisi.

Kifo cha George Floyd kimezusha taharuki kubwa nchini Marekani na kusababisha maandamano na ghasia kubwa.