Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia bendi ya ya JKT mara baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.

Waandishi mbalimbali wa Habari wakiwa wameshika chepe ili kuweka zege kama ishara ya kuweka kumbukumbu kwenye jiwe la msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo la Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe
la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani
Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais
Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere kuashiria
uzinduzi wa Mitambo na magari yatakayotumika katika
ujenzi wa Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani
Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi ya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu
wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali
Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin
Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere pamoja na viongozi wengine wakati wa wimbo wa Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt.
Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama
Maria Nyerere mara baada ya chakula cha mchana katika
viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakielekea kwenye uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi za Ikulu.

PICHA NA IKULU