Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHE.WAZIRI MKUU BUNGENI

MATUKIO YA MHE.WAZIRI MKUU BUNGENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Buhigwe, Albert Obama, Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, Mbunge wa Viti Maalum, Ester Mahawe, Mbunge Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza, Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Ladislaus Nyongo, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)