Home Burudani MHARIRI MKUU WA FULLSHANGWE MEDIA ASHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA SIKU YA...

MHARIRI MKUU WA FULLSHANGWE MEDIA ASHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA SIKU YA EID AL FITR

0

***********************

Mhariri Mkuu wa Fullshangwe Media Bw.Alex Sonna leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa.

Timu nzima ya Fullshangwe Media tunampa hongera kwa kuongeza mwaka mwingine wa kuishi hapa duniani.

Tutaendelea kushirikiana nae kwa hali na mali na umoja wetu mungu atatuongoza.

Hata hivyo mungu akijalia mwaka huu Bw.Alex anaweza kufunga pingu za maisha na mwandani wake.