RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiangalia ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kulia) Injinia wa Ujenzi Ramadhan China na (katikati) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akiangalia ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, (kulia) Injinia wa Ujenzi Ramadhan China na (katikati) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bi Asha Ali Abdalla (wa pili kulia) alipotembelea kituo cha Utafiti wa Afya Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo (kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir na (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed,[Picha na Ikulu