Home Michezo UWANJA WA GOLF WA LUGALO WAENDELEA KUFANYIWA USAFI LICHA YA KUFUNGWA

UWANJA WA GOLF WA LUGALO WAENDELEA KUFANYIWA USAFI LICHA YA KUFUNGWA

0

**************************************

UWANJA WA GOLF WA LUGALO UMEENDELEA KUWEKWA KATIKA HALI NZURI LICHA YA VIWANJA HIVYO KUFUNGWA KATIKA MSIMU HUU IKIWA NI JITIHADA ZA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA.

AKIZUNGUMZA WAKATI AKIENDELEA NA USAFI WA UWANJA HUO  MMOJA LUBUVA REMMY WA  AMESEMA HUCHUKUA TAKRIBAN SIKU SITA KUHAKIKISHA VIWANJA VYOTE VINAKUWA 
KWA UPANDE WAKE AFISA TAWALA WA KLABU YA GOLF YA LUGALO LUTENI SAMUEL MOSHA AMESEMA LICHA YA VIWANJA KUFUNGWA LAKINI USAFI LAKINI LAZIMA UFANYIKE.