Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MIKOA MIWILI YA...

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MIKOA MIWILI YA KASKAZINI NA KUSINI PEMBA WAKATI WA ZIARA YAKE LEO.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza wakati wa mkutano wake na Viongozi wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba akiwa katika ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Ussi Gavu akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe., Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Viongozi wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Kusini wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, akiwa katika ziara yake ya siku mbili.(Picha na Ikulu)

KAMANDA wa Chuo Cha Mafunzo Sharif Ahmada Ali akisoma dua baada ya kumalizika kwa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)

 BAADHI  ya  Viongozi  wa  Serikali kutoka Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)