Bondia mstaafu, Mike Tyson mwenye umri wa miaka 53 (kushoto) akiwa gym kujijndaa kurejea uliangoni tangu alipopigana kwa mara ya mwisho Juni 11, mwaka 2005 na kushindwa kwa pinti na Kevin McBride ukumbi wa MCI Center Jijini Washington PICHA ZAIDI SOMA HAPA