Home Mchanganyiko MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA

MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA

0

………………………………………………………………

Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi amefariki usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2020  jijini Aruaha alikuwa ni kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC)

Pia alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma ya the Voice of Hope Ministry, Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC

Yeye alikuwa anaumwa Sukari ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali hiyo hali ikamsumbua na kupelekea kufariki “-Mchungaji Samweli, Msaidizi wa Kanisa

#RIPNduguYetu🙏🏻