Home Mchanganyiko Mhe.Waitara ajiandikisha dafatri la wapiga kura Tarime Vijijini

Mhe.Waitara ajiandikisha dafatri la wapiga kura Tarime Vijijini

0

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( Tamisemi) Mwita Waitara leo April 18, 2020 mapema amefika katika kituo cha kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura katika kata ya Itiryo wilayani Tarime kujiandikisha na hivyo kuwa mpiga kura halali wa Jimbo la Tarime Vijijini

Naibu Waziri wa Tamisemi Mwita Waitara akionesha kadi yake mpya ya kupiga kura baada ya kujiandikisha