Home Mchanganyiko JE UNAJUA KUWA BRELA TUPO ULIPO?

JE UNAJUA KUWA BRELA TUPO ULIPO?

0

JE UNAJUA KUWA BRELA TUPO ULIPO?

BRELA ipo hapo ulipo, huduma zote unaweza kuzipata kupitia Mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao (ORS).

Ili uweze kupata huduma kupitia ORS unahitaji kuwa na Simu janja (smartphone) au Kompyuta, hapo utaweza kuandaa na kutuma ombi lako lolote kwa ajili ya usajili.

Mfumo wa ORS unaweza kuupata kupitia https://ors.brela.go.tz
Au kupitia tovuti ya BRELA www.brela.go.tz

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana na kituo chetu cha miito kwa namba: +255 222 212 800 au tuandikie kupitia barua pepe : [email protected]

“BRELA tunaipa utu wa kisheria biashara yako”