Home Mchanganyiko WAHESHIMIWA WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MATOKEO YA MKATABA WA ENEO HURU LA...

WAHESHIMIWA WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MATOKEO YA MKATABA WA ENEO HURU LA BIASHARA LA BARA LA AFRIKA

0

Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akifungua mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum Mwinyi Rehani na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bajeti Ofisi ya Bunge, Bi. Mary Lwasai.

Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia mada wakati wa mafunzo kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mtangamano wa BiasharaWizara ya Viwanda na Biashara, Bi. Sekela Mwaisela akitoa mada wakati mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum Mwinyi Rehani akizungumza wakati wa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bajeti Ofisi ya Bunge, Bi. Mary Lwasai.

PICHA NA BUNGE