table align=”center” cellpadding=”0″ cellspacing=”0″ class=”tr-caption-container” style=”margin-left: auto; margin-right: auto; text-align: center;”>
Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Bw. Joseph Mkirikiti akisikiliza maelekezo ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Genandu-Babati km 105 na Mogitu-Haydom km 68.
|
Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiru Rwesingisa (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na Mogitu-Haydom Km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara. |
|
Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiru Rwesingisa (mwenye koti jeusi) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na Mogitu-Haydom Km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara. |
|
Muonekano wa Bwawa la Dawari lililosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Hanang, bwawa hilo lipo katika barabara ya Mogitu-Haydom Km 68 mkoani Manyara. |
|
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa (wa tatu kulia) akikagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na Mogitu-Haydom km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara. |
|