…………………………………………………………..
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid ametangaza kupatikana kwa wagonjwa wawili raia wa Tanzania wenye maambukizi ya virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo visiwani humo kufikia 9 mpaka sasa.
Raia hao wa Tanzania waliopatikana na virusi hivyo hawakuwahi kusafiri nje ya nchi.