Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji, Angellah Kairuki, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Dkt.Jasmin Tisekwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 9, 2020.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu