Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ LUGALO JIJINI DAR ES...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais wa Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana kwa ishara na Balozi wa Tanzania nchini Mhe. Regine Hess baada ya sherehe za uzinduzi wa Karakana Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess baada ya kuzindua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini
Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuashiria uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess wakifunua pazia kuashiria uzinduzi
wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi
akitoka kukagua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kuizindua leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na akimpongeza ka hotuba nzuri Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess wakati wa sherehe ya uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess akikagua sehemu za ufundi wa magari baada ya kuzindua karakarana  kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa
Machi 13, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali akiwaomba waelimishe umma kuhusu kujikinga na maambukizi ya viurusi vya Corona baada ya kukabidhiwa  karakara kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Machi 13, 2020

 Rais wa Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana kwa kugonganisha miguu na Balozi wa Tanzania nchini Mhe. Regine Hess baada ya sherehe za uzinduzi wa Karakana Kuu ya Jeshi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na maafisa baada ya sherehe za uzinduzi wa Karakana Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020.

Rais wa Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe za uzinduzi wa Karakana Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020.

Picha na IKULU