Home Mchanganyiko IGP SIRRO AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

IGP SIRRO AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo na kujadiliana
masuala mbalimbali ya kiutendaji. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo na
kujadiliana masuala mbalimbali ya kiutendaji. Picha na Jeshi la Polisi.