Home Mchanganyiko Waziri Mwakyembe azindua kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Mkataba wa UNESCO...

Waziri Mwakyembe azindua kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Mkataba wa UNESCO 2005

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba
wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo
Machi 10 jijini Dar es Salaam.

Wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza
kiutamaduni wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii
leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa kamati ya uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa
kujieleza kiutamaduni (kulia) akipokea cheti toka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe Wakati wa ufunguzzi wa kikao kazi cha uandaaji taarifa hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa Kitaifa wa Mkataba wa UNESCO, Robert Mwampamba akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar
es Salaam.

Mkurugenza wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Emanuel Temu akisisitiza jambo kwa wadau wa uandaaji wa taarifa ya
kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.

Picha na WHUSM –Dar es Salaam