Home Mchanganyiko Waziri Mwakyembe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkuu wa (JICA) nchi...

Waziri Mwakyembe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkuu wa (JICA) nchi Tanzania

0

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) nchini, Bw……………………….. (kushoto)
akisisitiza jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
Wakati Mwakilishi Mkazi huyo alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar
es Salaam leo Machi 10 na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya Michezo hususani kwa
wanawake.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua
jambo kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bw……………………….. Wakati
Mwakilishi Mkazi huyo alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es
Salaam leo Machi 10 na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya Michezo hususani kwa
wanawake, kulia ni .

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akisoma kitabu kinachoonesha miradi mbalimbali iliyadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Wakati alipotembelewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) nchini, Bw………………………..mapema hii leo Machi 10 katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam na
kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya Michezo hususani kwa wanawake.

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Makoye Alex Nkenyenge (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati Waziri Mwakyembe alipotembelewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) nchini, Bw………………………..mapema hii leo Machi 10 katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya Michezo hususani kwa wanawake.

Mshauri wa Masuala ya Uhusiano toka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bw. Raymond Msoffe (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati Waziri Mwakyembe alipotembelewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) nchini, Bw………………………..(katikati) mapema hii leo Machi 10 katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya Michezo
hususani kwa wanawake.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) nchini, Bw………………………..(katikati) Wakati Mwakilishi Mkazi huyo alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam leo Machi 10 na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo
ya Michezo hususani kwa wanawake.

Picha na WHUSM – Dar es Salaam