Mkurugenzi wa Huduma za Kidijitali wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye semina ya maadhimisho ya wiki ya ubunifu leo, Vodacom imetoa fursa kwa wanavyuo waliomaliza masomo na wenye uwezo wa ubunifu ili kuwawezesha kufikia malengo yao ya ubunifu kwa kushirikiana na SmartLab. Wengine kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Smartlab Tanzania, Edwin Bruno na Muwezeshaji wa mdahalo huo, Tunu Makamula
Mkurugenzi wa Huduma za Kidijitali wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (kushoto)akizungumza na waandishi wa habari kwenye semina ya maadhimisho ya wiki ya ubunifu leo, Vodacom imetoa fursa kwa wanavyuo waliomaliza masomo na wenye uwezo wa ubunifu ili kuwawezesha kufikia malengo yao ya ubunifu kwa kushirikiana na SmartLab. Kushoto yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Smartlab Tanzania, Edwin Bruno
Mkurugenzi Mkuu wa Smartlab Tanzania, Edwin Bruno akizungumza na wadau wa Teknolojia kwenye semina ya wiki ya ubunifu leo jijini Dar Es Salaam
Wadau wa Teknolojia wakimfuatilia kwa makini mtoa mada