Mwanzilishi wa wa ”Vuka Intitiative” bi Veronica Ignatus akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya ”Mwogeshe Mwanao’‘
Keki iliyotumika katika Uzinduzi wa Kampeni ya ”Mwogeshe Mwanao’‘
Mwanzilishi wa Vuka Initiative bi Veronica Ignatus akimlisha keki mwanamke mwenye umri mkubwa (Mama Lily)aliyehudhuria katika uzinduzi wa kampeni ya Mwogeshe mwanao iliyofanyika Jijini Arusha ikiwa pia ni maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
Mwanzilishi wa Vuka Initiative bi Veronica Ignatus akimlisha keki msichana mwenye umri mdogo aliyehudhuria katika uzinduzi wa kampeni ya Mwogeshe mwanao iliyofanyika Jijini Arusha ikiwa pia ni Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
Shamrashamara zikiendelea katika uzinduzi wa Kampeni ya Mwogeshe Mwanao katika ukumbi wa Corrido Spring Hotel iliyopo Jijini Arusha
Mwanzilishi wa ”Vuka Initiative” Bi Veronica Ignatus akiwa na baadhi ya wanawake mara baada ya kufanyika kwa Uzinduzi wa kampeni ya” Mwogeshe Mwanao” iliyofanyika katika hotel ya Corrido Spring Hotel Jijini Arusha
Mwanzilishi wa Mradi ”Vuka Initiative” bi Veronica Ignatus akiwa kayika picha ya pamoja ba baadhi ya viongozi na wageni waalikwa katika uzinduzi wa Kampeni ya ”Mwogeshe Mwanao”
wametakiwa kujenga uhusiano wa karibu na Watoto wao na kutenga muda malezi na
ufuatiliaji wa karibu mabadiliko ya tabia za watoto.
alipokuwa akizindua mradi wa “Vuka Initiative” pamoja na uzinduzi wa kampeni
ya Mwogeshe Mwanao iliyofanyiaka
katika Hoteli ya Corrido Spring mkoani Arusha.
kubadilika kifikra na kuacha visingizio vya kubanwa na majukumu ya kila siku kwa kisingizio cha
kupanda kwa haki ya maisha badala yake watenge muda wa kuwa na watoto wao mara
kwa mara kwani watoto wengi wamewazowea wasaidizi wa majumbani kuliko wazazi
wao au walezi wao halisi
alisema kuwa “Vuka
Initiative” ni mradi wenye kusudi la kupunguza changamoto za ukatili na
unyanyasaji wa kijinsia katika jamii. Dira yake ni kuwa taasisi kimbilio kwa
watu wote wenye changamoto za kimaisha.
jamii na kutatua changamoto za ukaliti na unyanyasaji wa kijinsia ambapo Motto
wao unaowaongoza ni “Vuka yako, Salama yako”
na wanawake katika makundi ya wanawake yaani wafanyakazi wa sekta rasmi na
zisizorasmi, mpango ni kuanzia na wilaya sita za mkoa wa Arusha.
dhati kuisaidia serikali ya awamu ya tano ya Rais John Pombe Magufuli ya
kuwaboreshea maisha na kuwawezesha wanawake na watoto.
kwa kuandaa vipindi, warsha, semina, makongamano ya kuwafikia wanawake na Watoto.
“Mwogeshe Mwanao” kampeni hii inalenga kuwakumbusha wazazi na jamii kwa
ujumla kuhusu jukumu la kuongeza ukaribu/mahusiano kwa watoto wao na kutenga
muda wa malezi na ufuatiliaji wa karibu kwa Watoto wetu.
vyombo vya habari na wadau mbalimbali kuunga mkono kwenye tukio na kuwa huru
wakati wote kutoa ushauri, mapendekezo, maoni na michango ya hali na mali
katika kuwezesha utekelezaji wa majukumu ya kuitumikia jamii na Taifa kwa
ujumla.