div dir=”ltr”>
WAFANYAKAZI na Wateja wa Benki ya UBA Tanzania ,wakisherekea maadhimisho ya siku ya wanawake Dunia yaliyofanyika leo Makao Makuu ya Benki hiyo Jijini Dar es Salaam
WAFANYAKAZI
na Wateja wa Benki ya UBA Tanzania ,wakisherekea maadhimisho ya siku ya
wanawake Dunia yaliyofanyika leo Makao Makuu ya Benki hiyo Jijini Dar
es Salaam

Na MWANDISHI WETUDAR ES SALAAM
WAFANYAKAZI wanawake wa UBA Tanzania wamesherehekea Siku ya
Kimataifa ya Wanawake kwa kuwaalika wateja wanawake kushiriki kifungua
kinywa katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo, ikiwa ni kutambua
mchango wa wanawake katika jamii.

Kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2020 ni ‘Dunia sawa ni dunia iliyowezeshwa’. Kila mmoja kwa usawa.
Siku hii inayosherehekewa Machi 8 kila mwaka, inatoa fursa
ya kutafakari maendeleo yaliyopatikana, kutoa wito wa mabadiliko na
kusherehekea matendo ya ujasiri na uamuzi uliofanywa na wanawake wa
kawaida ambao wametekeleza majukumu katika historia ya nchi zao na
jamii.

Katika kuadhimisha siku hii maalumu ya wanawake, Ijumaa ya
Machi 6, 2020, UBA Tanzania ilitembelea wanawake wenye matatizo ya
Fistula katika Hospitali ya CCBRT na kuchangia vifaa vya matibabu,
pampas za wanawake watu wazima pisi 40.

Mbali na hivyo pia walitoa mafuta ya kujipaka 40, sabuni za
kufulia pisi 40, dawa za meno pisi 40, miswaki pisi 40, sahani 100 na
bakuli 50, vikombe vya chai pisi 100, kanga doti 100, vyandarua vya mbu
pisi 100, dawa za mbu za kupuliza katoni 5, mabeseni 100, kandambili
pisi 100 na taulo za kike pisi 40.

Wanawake wa UBA Tanzania walitekeleza jukumu lao muhimu kwa
kuwawezesha pia wanawake wengine kupitia shughuli mbalimbali
zilizofanywa na benki hiyo kusaidia wanawake na wanafunzi wa kike kwa
kuwapatia taulo za kike, taulo za wajawazito na vifaa vingine.

Hata hivyo katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es
Salaam, Makao Makuu ya UBA Tanzania, Pugu Road jirani na Mfugale
Flyover, timu ya viongozi wanawake wa benki hiyo na wafanyakazi wengine
wanawake walitoa elimu na kujadili masuala mbalimbali wanayopitia
wanawake na mwisho walipata kifungua kinywa na wateja wote wanawake
walioalikwa.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Ofisa Mkuu wa Uendeshaji
wa benki hiyo, Flavia Kiyanga, aliwataka wanawake kujishughulisha katika
shughuli za ujasiriamali na shughuli nyingine za biashara ili
kujiwezesha na kujimarisha kiuchumi.

Naye Katibu wa Kampuni, Victoria Lupembe, aliwaeleza
wanawake kuwa kwa sasa usawa wa kijinsia umefikia mahali pazuri katika
kampuni nyingi, ikiwamo UBA Tanzania ambayo imeajiri idadi kubwa ya
wanawake katika nafasi za utendaji na zisizo za utendaji.