Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA...

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR LEO.7-3-2020 KATIKA UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI ZANZIBAR.

0

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu. Akizungumza wakati wa mkutano wa kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

KATIBU  Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar. Ndg. Bakari Ali Bakari akiwasilisha Taarifa ya Braza wakati wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga  na kushoto Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani.(BOT)  Ndg.Julian Raphael Banzi  na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh, wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa Jukwaa la  kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akihutubia na kufungua jukwaa hilo, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)

MUWASILISHAJI Mada kutoka Tume ya Mipango Zanzibar.Ndg.Salim Saad, akiwasilisha Mada kuhusia na Uchumi wa Bluu (Blue Economy) wakati wa mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Jumuiya yac Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Toufiq Salim Turky, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakati wa ufunguzi wac Jukwaa la Kumi la Bishara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu Kingozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mawaziri wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu na Naibu Waziri wa  Mifugo na Uvuvi Mhe Abdalla Ulega. wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh  na  (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja. Bi, Marine Joe Thomas.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na za Umma  na Wafanyabiashara Zanzibar .(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Balozi Amina Salum Ali akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)