Home Mchanganyiko MAJALIWA AKAGUA KITALU CHA MICHE YA MKONGO CHA TAASISI YA UTAFITI WA...

MAJALIWA AKAGUA KITALU CHA MICHE YA MKONGO CHA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO MLINGANO

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.  Kulia ni Mwenyekti wa CCM wa mkoa wa Tanga, Henry Shekifu, wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.   Wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikkagua miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.   Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa wa Tanga baada ya kuhitimisha ziara ya siku sita mkoani humo, Machi. 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)