Home Biashara TBS YAHAMASISHA WAJASIRIAMALI WA MANISPAA YA MPANDA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA ZAO

TBS YAHAMASISHA WAJASIRIAMALI WA MANISPAA YA MPANDA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA ZAO

0

Afisa udhibiti Ubora (TBS) Bw. Ernest Simon akiwahamasisha wajasiriamali wa Manispaa ya Mpanda kuthibitisha ubora wa bidhaa zao ili waweze kuuza ndani na nje ya nchi na hatimaye kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano ya Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ya uchumi wa viwanda. Wajasiriamali hao wameishukuru TBS kuwafikia na wameahidi kuanza mchakato wa kuthibitisha bidhaa zao.

#TBStunakufikia ulipo# Tunakusogezeahudumakaribu#