Home Burudani Mkali wa Muziki wa Injili Tanzania, Princess Irene Robert, kaja kwa kishindo...

Mkali wa Muziki wa Injili Tanzania, Princess Irene Robert, kaja kwa kishindo kingine.

0

*******************

Baada ya kuachia wimbo Mkali wa Tembea Mwishoni mwa mwaka Jana, Sasa 2020 amekuletea wimbo mpya kabisa uitwao Vilevile.

Wimbo huo amewashirikisha waimbaji kutoka Kenya Guardian Angel, Levixone na Gaby Kamanzi. Karibu uusikilize na utabarikiwa Sana.