Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akitoa maelekezo kwa mameneja pamoja na wakandarasi kuondoa nguzo za umem zilizolazwa ovyo barabarani akiwa njiani kwenda kuwasha umeme katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani,akisalimiana na viongozi mara baada ya kuwasili katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma kwa ajili ya kuwasha umeme.
Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga,akizungumza kabla ya Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani,kabla ya kuwasha umeme katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia,akizungumza na wananchi kabla ya Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani,kabla ya kuwasha umeme katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani,akizungumza na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kuwasha umeme katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Sehemu ya wananchi wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani,alipokuwa akizungumza nao kabla ya kuwasha umeme katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani,akikata utepe kuashiria uwashaji wa umeme katika kata ya Farkwa wilayani Chemba mkoani Dodoma.
………………………………………………………………………………………………
Na.Alex Sonna,Chemba
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amewaonya wakandarasi nchi nzima wanaotelekeza miradi ya umeme vijijini (REA) kuacha mara moja tabia ya kulaza ovyo nguzo za umeme barabarani huku zikikaa muda mrefu bila kusimikwa.