Home Mchanganyiko WATAALAM WA NDANI WAOKOA TAKRIBANI BILIONI 27 KATIKA MIRADI YA MAJI

WATAALAM WA NDANI WAOKOA TAKRIBANI BILIONI 27 KATIKA MIRADI YA MAJI

0

 

Waziri wa Maji Mhe Prof.Makame Mbarawa kushoto kwake akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakielekea kukagua tanki la maji .

Waziri wa Maji Mhe.Prof.Makame Mbarawa akikagua tanki la mradi mkubwa wa maji katika jiji la Arusha ,unaosimamiwa na mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA) lenye ujazo wa lita milioni 10,kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho.

Waziri wa Maji Mhe.Prof.Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Christine Kessy Kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji wa vijiji 5 unaofadhiliwa na DFID katika Halmshauri ya Arumeru.

…………………………………………………………………………………………………….