Home Michezo TYSON FURY NA DEONTAY WILDER KUZIPIGA KWA MARA YA TATU JULAI

TYSON FURY NA DEONTAY WILDER KUZIPIGA KWA MARA YA TATU JULAI

0

Bondia Tyson Fury (kushoto) na Deontay Wilder (chini kulia) watapigana kwa mara ya tatu Julai 18 mwaka huu ukumbi wa MGM Jinini Las Vegas. Mapambano mawili ya awali, Desemba 1, 2018 walitoka droo ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles na Februari 22 Fury alishinda kwa Knockout (TKO) raundi ya saba hapo hapo MGM Grand PICHA ZAIDI SOMA HAPA