Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 2-0 PORTSMOUTH NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA

ARSENAL YAICHAPA 2-0 PORTSMOUTH NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA

0

Eddie Nketiah akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 51,  kufuati Sokratis Papastathopoulos kufunga la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Portsmouth kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Fratton Park PICHA ZAIDI SOMA HAPA