Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT PROFESA.FLORENS.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT PROFESA.FLORENS.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa.Florens Luoga, wakibadilisha mawazo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa.Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki  Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar  kwa  mazungumzo  na Rais  akiongozana na Ujumbe wake (kulia)  yaliofanyika katika wa ukumbi wa Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).