Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANACHI WA KIJIJI CHA KABUKU WILAYANI HANDENI

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANACHI WA KIJIJI CHA KABUKU WILAYANI HANDENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kabuku wilayani Handeni akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga, Machi 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wananchi wa kijiji cha Kabuku wilayani Handeni wakimshangilia  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia  kijijini hapo, Machi 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)