Home Mchanganyiko MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI CHA SIMBA CHA JIJINI TANGA

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI CHA SIMBA CHA JIJINI TANGA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha saruji cha Simba cha jijini Tanga wakati alipokitembelea, Februari 3, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Marten  Shigela na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha saruji cha Simba cha jijini Tanga wakati alipokitembelea Februari 3, 2020.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)