Home Mchanganyiko MASAUNI AWASILI MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI

MASAUNI AWASILI MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti (kushoto), baada ya kuwasili mkoani Kagera leo kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Kagera wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia),wakati wa kikao cha ndani kilichohusu masuala ya Ulinzi na Usalama.Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Brigedia Jenerali Marco Gaguti.Naibu Waziri Masauni amewasili mkoani Kagera leo kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Brigedia Jenerali Marco Gaguti akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia)juu ya masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama baada ya Naibu Waziri Masauni kuwasili mkoani hapo leo kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Brigedia Jenerali Marco Gaguti(kushoto).Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi