Home Biashara KIKAO CHA MASHAURIANO KATI YA SERIKALI NA WAFANYABIASHARA MKOANI MARA

KIKAO CHA MASHAURIANO KATI YA SERIKALI NA WAFANYABIASHARA MKOANI MARA

0

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania(TBS) Dkt.Athuman Yussuf Ngenya akijibu baadhi ya changamoto zilizoibuliwa na wafanyabiashara wa Mkoa wa Mara katika kikao cha Mashauriano kati ya serikali na wafanyabiashara wa mkoa huo.

Baadhi ya Viongozi wa kiserikali pamoja na wafanyabiashara wakifuatilia Mkutano huo ulihudhuriwa na mawaziri na manaibu waziri watatu (3) na wafanyabiashara zaidi ya 400 wa mkoa wa Mara.