RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akiwasilisha muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi yake kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Waziri) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kulia kwa Waziri) Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mihayo Juma N’hunga
BAADHI ya Wakurugenzi wa Idara za Ofisi mbalimbali za Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) uliuofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , wakifuatila taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi yao kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, wakati Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo akiwasilisha Taarifa ya Mpango kazi, Ndg. Abdalla Hassan Mitawi,(hayupo pichani) mkutano uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Abdalla Hassan Mitawi akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
KATIBU wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg.Mohammed Ali Abdalla, akijibu maswali yaliouliza katika mkutano huo wa uwasilishwaji wa taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020. Uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)