Home Mchanganyiko Huduma ya Intaneti Vodacom Yarejea

Huduma ya Intaneti Vodacom Yarejea

0

Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza.

Tumedhamiria kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa.

Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walionunua bando watarejeshewa kuanzia Leo.