Home Michezo TYSON FURY AMKALISHA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA NA KUTWAA...

TYSON FURY AMKALISHA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA NA KUTWAA TAJI LA WBC

0

Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kulia) akiwa ameketi chini baada ya kuangushwa Muingereza, Tyson Fury (kushoto) katika pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani.  Gypsy King alimuangusha mara mbili Bronze Bomber kabla ya wasaidizi wake kurusha taulo ulingoni raundi ya saba kumnusuru na kipigo zaidi hivyo Fury kutwaa taji la WBC kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) PICHA ZAIDI SOMA  HAPA